Nenda kwa yaliyomo

faini

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

faini

  1. adhabu ya fedha inayotozwa kwa mtu au taasisi kwa kukiuka sheria, kanuni au taratibu zilizowekwa.

Mfano

[hariri]

"Dereva alitozwa faini ya shilingi 50,000 kwa kuendesha gari bila leseni."

Tafsiri

[hariri]