Nenda kwa yaliyomo

Seny Dieng

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Seny Timothy Dieng (alizaliwa 23 Novemba, 1994) ni mchezaji wa kulipwa wa mpira wa miguu anayekipiga katika nafasi ya mlinda mlango kwa klabu ya Uingereza ya Middlesbrough FC. Alizaliwa Uswisi, Dieng ana wakilisha timu ya taifa Senegal kimataifa.

Kazi ya klabu

[hariri | hariri chanzo]

Awali ya taaluma

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Julai 2011, Dieng aliweka saini na klabu ya Grasshopper Club Zürich akitokea Red Star Zürich.

Mnamo Novemba 2012, Dieng alifanya debut yake katika soka la watu wazima akiwa na umri wa miaka 17, akicheza kwa FC Grenchen wakati akiwa kwa mkopo kutoka Grasshoppers.[1][2]

Kazi ya kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Mei 2014, Seny Timothy Dieng alipata mwito wake wa kwanza kujiunga na timu ya taifa ya Senegal national football team kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Colombia national football team, ambapo alikaa benchi na kushuhudia sare ya 2–2 bila kucheza.[3]

  1. ↑ "Timothy Dieng". Soccerbase. Iliwekwa mnamo 25 Septemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ "Lille vs. Grasshopper - 5 August 2014 - Soccerway". uk.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 16 Aprili 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. ↑ "COLOMBIA VS. SENEGAL 2 – 2". uk.soccerway.com. 31 Mei 2014. Iliwekwa mnamo 26 Julai 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Seny Dieng kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.