Karamu
Mandhari

Karamu (kutoka neno la Kiarabu) ni tafrija maalumu inayohusisha wengi katika kula na kunywa, pengine pia kuimba na kucheza, ili kusherehekea jambo fulani, k.mf. arusi. Hasa ni jumla ya vyakula na vinywaji vilivyoandaliwa kwa ajili hiyo.
Toka zamani karamu ni sehemu muhimu ya aina nyingi za utamaduni katika kujenga mafungamano ya kijamii kati ya washiriki. Mara nyingi imekuwa pia nafasi nzuri ya kujadiliana mambo mbalimbali.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- The Food Timeline (Illustrated Edition) Ilihifadhiwa 6 Januari 2026 kwenye Wayback Machine.
- Albala, Ken (2007). The banquet: Dining in the Great Courts of late Renaissance Europe. Board of Trustees, University of Illinois. ISBN 978-0-252-03133-5.
| Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Karamu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |