Ivian Sarcos
Mandhari
Ivian Sarcos (alizaliwa Julai 26, 1989) ni mwanamitindo na mrembo wa Venezuela aliyetwaa taji la Miss World mwaka 2011 tarehe 6 Novemba 2011 huko London, Uingereza. Sarcos ni mwanamke wa sita kutoka Venezuela kushinda Miss World. Alitawazwa na mtangulizi wake Miss World 2010, Alexandria Mills.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Miss World Official Site: MISS WORLD 2011 is VENEZUELA". Miss World. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Novemba 7, 2011. Iliwekwa mnamo Novemba 8, 2011.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Ivian Sarcos mujer como pocas". Carasonline.net. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Juni 15, 2013. Iliwekwa mnamo Desemba 6, 2011.
{{cite web}}: CS1 maint: unfit URL (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ivian Sarcos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |